Arabic Azeri Persian Swahili Urdu Hausa Chinese Turkish Hindi Russian Thai French Indonesian English
Vitabu vya Kiislamu Makala za Kiislamu Islamic Magazine Islamic Media

Maoni na malalamiko
Maoni na malalamiko mapya
Jumla: 2
1 
 2010-07-11  14:21:02
nimeridhika,kwahakika ninashukuru sana kwa kujibiwa,kwani jambo hili kwangu linamaanisha pia kuwa tovuti hii ipo hai na inatendakazi kwa mujibu wa mipango yake iliyojiwekea,ahsanteni sana tutazidi kuwasiliana kila patakapo kuwa na haja ya kufanya hivyo,tawfiq ya Allah iwe nanyi. alakh saidi
chega80@yahoo.com
AHSANTE SANA KWA KUWASILIANA NASI NA KAMA UNA MASUALI YA KISHERIA AU KIAKIDA WAWEZA KUTUULIZA WWW.ALHASSANAIN.COM

 2010-06-26  15:06:50
kwanza kabisa sinabudi kuwapa pongezi watendaji wote wa tovuti hii pamoja na wasimamizi wao,lakini langu kwa leo ni kuwa upande wa maktaba yenu ya sauti hebu jaribuni kuipamba kwa sauti mbali mbali tena ziwe za watu mbalimbali hasa kwa wahadhiri chipukizi kwa faida ya wafuatiliaji,pia muluhusu zipakuliwe kwa kadri ya uwezekano ili kukuza faida hiyo,kwani vitu kama mawaidha dua na hata anaashiid ni vitu adimu sana kwa wazungumzao kiswahili. ahsanteni sana,kila lenye mafanikio nitazidi kuwatakia WABILLAH TAWFIIQ alakh saidi
chega80@yahoo.com
Assalamu alaikum ni mimi nduguyo Salim Al-rajihiy muhusika wa lugha ya Kiswahili. aliye jibu barua yako. Kwanza tunafurahi kwa kuwasiliana nasi na kuhusu suala la kuweka sauti mbali mbali za wahadhiri, tuko njiani kufanya hivyo, na kwa upande wa suala la upakuzi halina matatizo yeyote labda tu ungelijaribu kuangalia kwa makini zaidi ili uweze kupakua ukitakacho. Lakini usisahau kunukuu tovuti yetu hii kwa watu wengine, ili wao nao waweze kufaidika zaidi. Natumai utaridhika na jawabu zetu. ahsante ndugu Saidi kutoka Syria. www.alhassanain.com